PIMA AFYA YAKO

 


JE UMEWAHI KUPIMA AFYA YAKO?
Kamwe Usitafute Tiba Za Changamoto Za Uzazi na nyenginezo Pasipo Uangalifu!

Changamoto Za Uzazi Kwa Wanaume Na Wanawake Huja Na Matokeo Ya Kufanana Lakini Vyanzo Na Visababishi Vyake Hutofautiana Sana.

Ili Kutibu Changamoto Za Uzazi Kwa Uhakika Zaidi Shiriki Kwanza Vipimo Vya Mfumo Mzima Wa Uzazi Vitakavyokusaidia Sana Kufahamu Yafuatayo;

✅️ Kujua Tatizo Zaidi Ni Lipi (Wengi Hawafahamu Changamoto Walizonazo Wanaziotea Tu Kwa Kuangalia Dalili Peke Yake)

✅️ Kufahamu Chanzo Cha Tatizo (Changamoto Za Uzazi Hazitibiwi Kwa Kutazama Matokeo Peke Yake! Vipimo Vitakupa Nafasi Ya Kufahamu Vyanzo Ni Vipi Na Ndio Msingi Wa Afya Njema Ya Uzazi)

✅️ Kufahamu Namna Tatizo Lilivyoathiri Uzazi Kwa Ndani

Vipimo Hivi Vya Uzazi Na Matibabu Ya Uzazi Yanapatikana Kwenye Vituo Vyetu Vya Afya Vilivyopo Kwenye Zaidi Ya Mikoa 20 Kwa Thamani Ya Tsh 30,000 (Elfu Thelathini Tu!)

Ndio Ni Kwa Tsh 30,000 (Elfu Thelathini Tu)

Vipimo vyetu vinahusika na masuala ya uzazi na Matatizo mengine mbalimbali.
Kama wewe ni muhitaji wa huduma karibu hospital kwetu.
Huduma zetu ni za uhakika na kuaminika.
 kwa huduma za matibabu bofya hapa

Tunapatikana Dar es salaam na mikoa myengine.

Wasiliana Nasi Hapa Kupata Vipimo Sahihi Vya Uzazi Na Matibabu Sahihi Zaidi


Kwa mawasiliano zaidi piga
0626908654 / 0718958410