BAWASIRI IMENITESA SANA.


BAWASIRI, GONJWA LINALOTIKISA DUNIA KWA MDA MREFU SANA

BAWASIRI NI NINI?
Bawasiri ni kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani ya au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa.

Ni hali ambayo inaweza kusababisha nyama kujitokeza nje. 
Hivyo bawasiri inaweza kuwa bawasiri ya ndani au bawasiri ya nje. 

Ugonjwa huu unaweza kusababisha muwasho, maumivu na damu au kamasi kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa ingawa wakati mwingine hauna dalili.

 Madhara ya bawasiri ya ndani ni pamoja na damu kutoka wakati wa kujisaidia, damu kuganda ndani ya mishipa ya damu na maumivu.

MIONGONI MWA SABABU ZA BAWASIRI
  • Kuwa na uzito wa mwili kupita kiasi, ujauzito, na kula vyakula visivyo na nyuzinyuzi (fibre) za kutosha
  • Kubeba vitu vizito mara kwa mara
  • Kuhara kwa muda mrefu na kufunga choo (constipation)
  • Kujamiiana kinyume na maumbile
  • Historia ya uwepo wa ugonjwa wa bawasiri katika familia
  • Magonjwa yanayoathiri njia ya haja kubwa
  • Kuketi kwa muda mrefu
  • Uzee na matatizo ya kutopata choo.
USHUHUDA WA MATIBABU YETU
1- Mzee Alex mwenye umri wa miaka 58 kutoka Gongo la mboto dar es salam alikua akisumbuliwa na bawasiri kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa, ndipo alipoonana nasi akatuelezea changamoto yake  na tukampa ushauri pamoja na dawa za kutumia.

Baada ya wiki tatu Mzee Alex alitushukuru sana kwa kumsaidia tatizo lake lilokua likimsumbua mda mrefu sana.
Kwa sasa mzee Alex amekua balozi wetu na anatuletea wagonjwa mbalimbali.




Pichani ni mazungumzo kati yangu na mgonjwa wangu kutaka kujua anaendeleaje baada ya wiki tatu za kutumia dozi.

2- Mama Abdallah kutoka dar es salam maeneo ya chanika nae akiwa anatoa ufafanuzi namna gani dozi zilivyomsaidia.

Pichani ni ufafanuzi wa mgonjwa wetu namana alivyoitumia dozi na akawa mzima na kwa sasa anafurahia maisha kama wengine.

Jee huduma zetu zipo wapi na utazipataje?
Kwa kituo cha huduma za mitishamba tupo mbezi karibu na stand ya basi za mkoa.

Kwa kituo cha utoaji wa tibalishe tupo majumbasita banana  dar es salaam.

Dawa za bawasiri zipo za aina mbili.
Bawasiri ya ndani. Ambayo dozi yake ni  45,000/=
Ambayo ni dozi moja.


Dozi ya bawasiri ya ndani 


Bawasiri ya nje  Dozi yake ni 75,000/=
Dozi moja pia.


Dozi ya bawasiri ya nje 

UHAKIKA WA MIZIGO KUFIKA KWA WATEJA WETU
tumefanya kazi mwa mda mrefu sana, na tunashukuru uaminifu ni asilimia mia moja wateja wanapata mizigo yao kwa wakati bila kupoteza mizigo yao.

Miongoni mwa mashuhuda wetu.
Bw. Halili Zacharia kutoka zanzibar nae ni mmoja wa wahanga wa bawasiri kwa mda mrefu sana ameonana nasi kupitia mitandao  na akavutiwa na huduma zetu akafanya maamuzi ya kuweka oda yake na baada kufanya malipo tukamtumia mzigo wake. 
Maelezo kwenye picha za miamala na mzigo wake kufika zinajieleza hapo chini.

Baada ya kujiridhisha na huduma zetu ameomba namba za malipo na kufanya muamala.

Hapa ni risiti ya kampuni ya usafirishaji kuelekea kwenye boti za Zanzibar.

Ni baada mzigo wake kuupokea huko Zanzibar


Hapa ni baada kufungua mzigo wake na kukuta upo kama alivyoagiza.

Kwa kufanya oda zako karibu sana ofisini kwetu kwa kupiga namba hizi +255626908654

Kwa waliopo mikoani au wenye kuhitajindelevery popote pale. Ingia link ya hapo chini.

Sulomy health care inawatakia afya njema popote mlipo.