LISHE YA FOLIC ACID


 Folic acid
Maelezo ya Bidhaa:
Lishe ya Folic Acid inatokana na mimea ya asili Alfafa na Green Algae. Kwa pamoja lishe hii inaundwa na madini kama Folic Acid, Iron na Calcium na inayeyuka haraka mwilini.

Madini ya chumna Iron' husaidia katika kuzalisha kinga mwilini na kuimarisha afya na pia inatumika katika uzalishaji wa kemikali ya Haemoglobin' katika damu.
Husaidia ini kuweza kufanya kazi vizuri na kuweza kuhifadhi vitamin B mwilini.

Madini ya Calcium husaidia kuimarisha mifupa na meno.
Kuzuia mishipa ya damu kukaza. Madini ya Calciun
yanasaidia kurekebisha msukumo wa damu na mapigo ya moyo mwilini.
Folic Acid ina virutubisho vyenye asili ya Vitamin B husaidia kulinda mwili kutokana na homa 'Anaemia' na kulinda viasili vya DNA visiharibiwe na kemikali. Pia husaidia kuzuia magonjwa katika mishipa ya damu inayopeleka damu katika moyo na kichwa. 
Ni nzuri kwa kina mama wenye homa, wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotarajia kupata ujauzito. Na inashauriwa makundi haya yanatakiwa kutumia wastani wa miligram 400 za Folic Acid kila siku kwa makuzi salama ya mtoto na kuzuia mimba kuharibika mara kwa mara. 

Njia rahisi ya kufikia lengo hili ni kumeza
vidonge aina ya Multi Vitamin B Complex na vidonge vya Folic Acid. Pia inafaa kutumiwa na watu wenye matatizo ya kuumwa na kichwa muda mrefu, kizunguzungu, uchovu usiokwisha, ni nzuri kwa wanafunzi wenye uwezo mdogo darasani. 

Tafiti zinaonyesha kwamba Folic Acid inapunguza
uwezekano wa kupata kansa, maradhi ya moyo 'stroke' na matatizo ya mfumo wa fahamu yakiwemo kupoteza kumbukumbu.

Bei yake ni 75,000/=

>>Watumiaji:
  1. Nzuri kutumiwa na wasiotumia mboga za majani mara kwa mara.
  2. Inawasaidia zaidi akina mama wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotegemea kupata ujauzito.
  3. Wanaosumbuliwa na homa mara kwa mara na maradhi ya viganja na miguu kushikwa na ganzi na baridi kali.
  4. Ni nzuri kwa wale wanaochoka choka haraka na mwil kukosa nguvu.
  5. Wanaosumbuliwa na maumivu ya kichwa, kizunguzungu na kupoteza kumbukumbu kwa kiasi kikubwa na uwezo mdogo (hasa wanafunzi) kiakili.