UGONJWA WA KISUKARI


UGONJWA WA KISUKARI

Ugonjwa kisukari au kitaalamu tunaita (diabete mellitus)  ni tatizo linalosababishwa na ukosefu wa insulin ambayo hutoka katika kongosho.

Kuna aina mbili za ugonjwa wa sukari 

  1.  Kisukari type
  2. Kisukari type 2 

  1. KISUKARI TYPE 1 
hii ni aina ya kisukari ambayo kitaalamu tunaiita JUVENILE DIABETES ambayo mara nyingi inawapata watoto wadogo mara nyingi ugonjwa huu huwa wa inheritance yani ni moja ya Magonjwa ya kurithi ugonjwa huu husababishwa pia na kuharibiwa kwa seli za kongosho hivyo kushindwa kutoa insulin ya kutosha 


 DALILI ZA KISUKARI TYPE1 

1. Kuhisi kiu sana
2. Mdomo kuwa mkavu sana 
3. Matatizo ya ngozi na njia za mkojo
4. Kiungulia na kichefu chefu kikali
5. Kukojoa mara kwa mara
6. Kuhisi njaa kila wakati
6. Mwili kukosa nguvu
8. Jasho sana hasa nyakati za usiku
9. Kushindwa kujiamini
10.Kupata ganzi seemu mbali Mbali za mwili

2.DIABETES TYPE 2

hii ni aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ambayo huwapata watu hapa inaeeezekana insulin ipo ila haifanyi kazi kabisaa au hufanya kazi kwa kiasi kidog sana hivyo kushindwa kupambana na sukari 

SABABU MBADALA ZINAZOSABABISHA UGONJWA WA SUKARI

  1. Ulevi hasa wa pombe kali
  2. Uvutaji wa sigara
  3. Matumizi ya madawa makali hasa antibiotic
  4. Ulaji mbovu hasa mafuta mengi na vyakula vya kiwandani venye sukari nyingi na ulaji wa wanga sanaa
MATATIZOMENGINE YANAYOSABABISHWA NA SUKARI

  1. Magonjwa ya moyo
  2. Kiharusi
  3. Mishipa ya fahamu kushindwa kufanya kazi vzr
  4. Kuharibu macho hivyo kupoteza uono
  5. Kuleta upungufu wa nguvu za kiume
  6. kushusha kinga ya mwili kusabisha maradhi mengine mengi
  7. Figo kufeli na n.k.

 MATIBABU YA UGONJWA WA KISUKARI

Wengi wamehangaika sana kutafuta matibabu bila mafanikio au wamepata tiba lkn haikuwafaa kwa sababu moja au nyengine.

Tunazo dozi nzuri sana ambayo kama utaitumia kwa wakati muwafaka na ushauri wa karibu na daktari basi kupona ni uhakika wa asilimia mia moja.

Kama upo tayari kuondokana na changamoto yako andaa 350,000/=  Kwa kupata hii dozi  ambayo imewafaa wengi.

Au piga simu kwa msaada wa haraka 
+255626908654/+255718958410