JIFUNZE KOZI FUPI YA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO



Endelea sehemu ya 03:
Siku ya 3 – Kozi ya WhatsApp: Tiba Asilia ya Vidonda vya Tumbo

Mada:
Tiba Asilia Zinazosaidia Kuponya Vidonda vya Tumbo

1. Karibu kwenye Siku ya 3 ya Kozi!
Leo tunaingia moja kwa moja kwenye tiba! Hizi ni tiba asilia ambazo zimesaidia watu wengi kupunguza maumivu na hata kupona kabisa vidonda vya tumbo – bila kemikali kali.

2. Mimea 5 Yenye Nguvu ya Kutibu Vidonda vya Tumbo:

a) Tangawizi


Hupunguza maumivu, gesi, na uvimbe tumboni. (zipo faida nyengine za tangawizi lakini hapa tunahusisha hizi tu kwa sababu ya mada yetu ya leo)


b) Ganda la chungwa kavu


Husaidia kutuliza asidi tumboni na kuleta ulinzi wa ukuta wa tumbo.


c) Mchaichai (Lemongrass)


Husaidia kupunguza stress, kuondoa bakteria na kuongeza kinga ya tumbo.


d) Karafuu


Ina viambata vinavyotuliza maumivu na kubalance asidi tumboni.


e) Mdalasini


Huua bakteria, huimarisha mmeng’enyo na husaidia damu kufika vizuri tumboni.
---

3. Njia Rahisi ya Kutengeneza Chai ya Tiba Nyumbani:

> Chukua:
  • Tangawizi kipande kidogo
  • Mchaichai majani 3-4
  • Ganda la chungwa kavu kidogo
  • Karafuu 3
  • Mdalasini kijiti kidogo
Chemsha pamoja kwa dakika 7-10, kisha kunywa ukiwa umekula chakula kidogo.
---

4. Kumbuka:
Hii chai ni ya kusaidia kupunguza dalili – lakini kwa vidonda vilivyo sugu, unahitaji tiba maalum iliyochanganywa kitaalamu

 (kesho nitakuelezea dawa yetu ya Sulomy HerboGuard Powder). msaada wa haraka kupata dawa ya vidonda vya tumbo bofya hapa
---

5. Leo ni kazi yako:

> “Ni mimea ipi kati ya hizi umeshawahi kutumia? Je, ilikusaidiaje?”
---
Kwa mawasiliano zaidi 0626908654/0718958410

Kupata masomo yalokupita 

#TibaAsiliaNaSuleiman
#SulomyHerboGuard