KOZI FUPI YA KUJIFUNZA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO NA MATIBABU YAKE


Sehemu ya 02

Siku ya 2 – Kozi ya WhatsApp: Tiba Asilia ya Vidonda vya Tumbo

Kwa Nini Watu Wengi Hawaponi Vidonda vya Tumo


1. Karibu tena!
Leo ni siku ya pili ya kozi yetu ya tiba asilia. 
Tutaangalia sababu zinazowafanya watu wengi kushindwa kupona kabisa vidonda vya tumbo, pamoja na makosa wanayofanya bila kujua.

2. Madhara ya Vidonda vya Tumbo Visivyotibiwa Vizuri:
  • Maumivu makali na ya mara kwa mara
  • Kutapika damu
  • Kutojisikia njaa kabisa
  • Kupungua kwa uzito sana
  • Kuvuja damu ndani kwa ndani (internal bleeding)
3. Makosa yanayofanywa na watu wengi;
  • Kutumia tu painkillers badala ya kutibu chanzo
  • Kutegemea soda au chai ya maziwa kupunguza maumivu
  • Kutokula kwa wakati sahihi au kula vyakula vyenye asidi nyingi
  • Kukimbilia dawa bila ushauri wa kitaalamu
  • Kunywa kahawa/tangawizi kali kabla ya kula chakula kizito
4. Je, Unafanya Makosa Haya?
Andika kwa ujumbe mfupi:

> “Makosa haya 3 niliwahi kuyafanya: andika hapa
Tutajifunza kwa pamoja na kusaidiana kurekebisha.

5 Kesho tutaingia kwenye tiba – usikose!
Tutagusia dawa asilia zinazosaidia kweli kuponya vidonda vya tumbo.

#TibaAsiliaNaSuleiman
#SulomyHerboGuard