DAWA YA ASILI KWA VIDONDA VYA TUMBO.





SULOMY HERBOGUARD POWDER

(Asili ya Uponyaji wa Vidonda vya Tumbo na Maumivu ya Muda Mrefu ya Tumbo)

Bidhaa ya Asili iliyotengenezwa na: Sulomy Health Care (Kwa tiba Asilia za hakika na kuaminika)

Maelezo ya Bidhaa:

Sulomy HerboGuard Powder ni mchanganyiko wa viambata vya asili vilivyothibitishwa kusaidia kuponya na kulinda tumbo dhidi ya vidonda, kuondoa gesi tumboni, kuimarisha mmeng’enyo wa chakula, na kupunguza maumivu ya tumbo yanayotokana na asidi nyingi au bakteria wa H. pylori.



Faida Kuu za dawa hii:

  • Hutibu na kuponya vidonda vya tumbo vya muda mrefu.
  • Husaidia kuondoa bakteria wa H. pylori kwa njia ya asili.
  • Hupunguza gesi tumboni, kiungulia na maumivu ya mara kwa mara.
  • Husaidia kurejesha afya ya ukuta wa ndani wa tumbo.
  • Ina viambata vyenye virutubisho muhimu kwa afya ya mmeng’enyo.


Jinsi ya kutumia:

Dozi: Kijiko kimoja cha chai cha unga wa Sulomy HerboGuard Powder kutwa mara mbili.

Njia ya matumizi: Changanya na maji ya uvuguvugu au asali, kisha unywe kabla ya kula.

Muda wa Matumizi: Matumizi ya siku 21 mfululizo kwa dozi ya kawaida. Kwa hali sugu, unaweza kutumia hadi wiki 6 chini ya ushauri wa mtaalamu.


Tahadhari:

Iepuke kutumia na soda au vyakula vyenye asidi nyingi wakati wa matibabu.

Wanawake wajawazito au wanaonyonyesha watumie chini ya uangalizi wa daktari wa tiba asilia.


Gharama ya dawa hii 45,000/=

Mawasiliano:
+255 718 958 410 / +255 626 908 654
[Instagram/Facebook: @sulomyhealthcare]


Mrejesho wa mteja wetu Zanzibar 


Dawa ya vidonda vya tumbo